Paroles de Dunia kigeugeu

Les Wanyika

pochette album Dunia kigeugeu
Voir sur Itunes

sonnerie téléphone portable pour Dunia kigeugeu
Clip vidéo

Naamini unaenda hutarudi oh
Hata kama sio leo wala kesho eeh
Mimi wako mama
Nawe wangu cherie mama
Mbona hivyo mwenzangu mama
Waniacha kisa nini oh
Oh bibi eh

Sio nia yangu niwe maskini oh
Uamuzi wake mungu eh mama
Ufukara oh bibi eeh
Si kilema oh cherie mama
Naamini iko siku mama
Nitakuwa kama wale, fulani eeh

Naamini unaenda hutarudi oh
Hata kama sio leo wala kesho eeh
Mimi wako mama
Nawe wangu cherie mama
Mbona hivyo mwenzangu mama
Waniacha kisa nini oh
Oh bibi eh

Sio nia yangu niwe maskini oh
Uamuzi wake mungu eh mama
Ufukara oh bibi eeh
Si kilema oh cherie mama
Naamini iko siku mama
Nitakuwa kama wale, fulani eeh

Kumbuka mama mwenyewe uliapa eeh
Tutaishi tutenganishwe na kifo eeh
Mi najuta sikujua, oh mama
Hukuishi kimapenzi, oh mama

Eeh, ukumbuke mama, aah
Sikuwa hivyo mwanzo, eeh
Dunia kigeugeu, aah
Leo hivi kesho vile, mama

Eeh, ufukara si kilema, aah
Ndio hali ya dunia, hivyo
Sitovunjika moyo mama yoyo
Siku yangu itafika na mimi oh

Eeh, ukumbuke mama, aah
Sikuwa hivyo mwanzo, eeh
Dunia kigeugeu, aah
Leo hivi kesho vile, mama

Eeh, ufukara si kilema, aah
Ndio hali ya dunia, hivyo
Sitovunjika moyo mama yoyo
Siku yangu itafika na mimi oh

Les autres musiques de Les Wanyika