Lyrics of Tanzania native anthem text

National Anthem

pochette album Tanzania native anthem text
View on itunes

sonnerie téléphone portable pour Tanzania native anthem text

1.
Mungu ibariki africa
Wabariki viongozi wake
Hekima umoja na
Amani hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.
Chorus:
Ibariki afrika
Ibariki afrika
Tubariki watoto wa afrika.
2.
Mungu ibariki tanzania
Dumisha uhuru na umoja
Wake kwa waume na watoto
Mungu ibariki tanzania na watu wake.
Chorus:
Ibariki tanzania
Ibariki tanzania
Tubariki watoto wa tanzania.
Sent by carlos andr pereira da silva branco

Others tracks of National Anthem