Lyrics of Atupenda
Tina Kuto Kalle
Kwa maana jinsi hii mungu
Aliupenda ulimwengu
Kamtoa mwanawe ili
Tupate uzima milele
Atupenda
Atupenda
Atupenda
Atupenda kweli
Ni upendo gani huu
Mwokozi kujitolea
Atufilie wenye dhambi
Tupate uzima milele
Alitufia
Alitufia
Alitufia
Tupate uzima
Katika yeye tunaishi
Katika yeye twatembea
Katika yeye tuna uzima
Na sisi ni watoto wake
Others tracks of Tina Kuto Kalle
Lyrics of the track atupenda by tina kuto kalle.






