Paroles de Usiende mbali

Julianna Kanyamozi

pochette album Usiende mbali
Voir sur Itunes

sonnerie téléphone portable pour Usiende mbali

Verse 1
Deka unavyo deka kama mtoto
Nitakubembeleza mimi wako oh
Nita zidi kupa vitu moto moto
Mapenzi kupendana sii mchezo
Nakusihi usijeniacha mimi

Solemba
Najisihi na mimi nisije kuacha wewe solemba

Tunavyo ishi wanandhani tunadanganyana
Sii rahisi amini mimi na wewe

Tukatengana
Chorus 2x
Usiende mbali nami
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali nami
Mimi bado nakupenda
Verse 2
Tangu niko na wewe ni furaha
Kukosa hata saa nikaraha
Bila wewe siwezi ishi
Kwako mimi sio mbishi
Wanapiga misele kila mara
Wanatimua mavumbi sisi twala
Wanataka mapinduzi na mapinduzi

Hawayawezi ooh ooh
Maumivu ya mapenzi naogopa sanaa
Hata wivu ni noa kwani sina roho

Ya chuma
Nakusihi usiniache solemba-aa
Najisihi na mimi nisije kuacha wewe

Solemba
Chorus 2x
Usiende mbali nami
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali nami
Mimi bado nakupenda
Usiendeeee......mimi bado

Nakupenda (2x)
Usiondoke.....mimi bado nakupenda

(2x)
Nakupenda wanipenda usija
Penda
Mbali nami
Usiende......mimi bado nakupenda
Usiondoke....mimi bado nakupenda

(3x)
Nakupenda wanipenda usija
Penda
Mbali nami
Usiendeeee......mimi bado

Nakupenda (2x)
Usiondoke.....mimi bado nakupenda

Les autres musiques de Julianna Kanyamozi