Lyrics of Kenya - ee mungu nguvu yetu

Hymne National

pochette album Kenya - ee mungu nguvu yetu
View on itunes

sonnerie téléphone portable pour Kenya - ee mungu nguvu yetu

Ee mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Na tukae na udugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi

Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii

Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya kenya tunayoipenda
Tuwe tayari tuilinda

Na tujenge taifa letu
Ee ndiyo wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani

Others tracks of Hymne National