Il testo della I will follow you
Gloria Muliro
Verse 1 lyrics:
Unaponipeleka
Mie si lazima nijue unachoniwazia mie si lazima
Nijue njia zako hakika mambo yako sambamba
Mipango yako sawa,sawa njia zako hakika mambo
Yako sambamba mipango yako sa.a......wa
Chorus lyrics:
Where you go,al go,where you stay al stay,where you move al move al
Move,i will follow you
Verse 2 lyrics:
Hakuna dhiki kwako,hakuna chuki kwako,wala unafiki kwako,baba
Kwako,ni marafiki kwako,kuna amani kwako,baba kwako,hakuna vita
Kwako,hakuna magonjwa kwako,wala talaka kwako,baba kwako
Kuna upendo tele kwako,furaha kwako,umoja kwako,baba kwako
Chorus lyrics:
Where you go,al go,where you stay al stay,where you move al move al
Move,i will follow you
Altri brani di Gloria Muliro
Il testo della canzone i will follow you da gloria muliro.






