Il testo della Blue uniform
Sauti Sol

Vista su itunes
Data di rilascio : 27/09/2010
Durata : 0:05:44
Stile : World
Video clip
Sina makosa afande uniwie radhi
Nimetoka kuimba
Na kitambulisho mi sina nimepoteza wallet na
Sijachukua nyingine
Na sijakataa kosa nililofanya ah
Sijakataa kitambulisho sina
Sijakataa chini nimeshaketi
Usiniseti afande usiniseti afande
(chorus)
Hey you in the blue uniform
If i have wronged you i will reform
Raia analia
Hey you, hey you.
Natambua kwamba huna kosa, ulilofanya eh
Kitambulisho hicho hauna
Nikufanyeje
Mapato yangu ni madogo, nategemea kidogo
Ni kazi yangu ujira wangu
Hujakataa kosa ulilofanya
Hujakataa chini umeshaketi
Hujakataa kitambulisho huna
Nitakuseti raia, fuata sheria
(chorus)
Aaaah
Umezoea kuchelewa siku mingi
Nimekulenga
Naona watuzoea mmmmh
Kuanzia leo mi nakuonya, ujichunge
Ama nitakuweka ndani weeeee
Hujakataa kosa ulilofanya,
Nakuonya heee mwananchi wewe,
Nitakuacha leo uende nyumbani,
Onyo kwako wee raia wee.
Altri brani di Sauti Sol
Il testo della canzone blue uniform da sauti sol.











