Il testo della Mapacha
Sauti Sol

Vista su itunes
Data di rilascio : 04/08/2009
Durata : 0:03:3
Stile : World
Video clip
Mapacha hawatenganishwi kalmu nami muandishi muandishi,
Usinilenge mi malanga aa,
Sina mengi mimi nina shairi mashairi
Chorus
Oooh wajua nakupendaaa, wajua nakulinda musichana wa afrika
Wajua nakupendaaa, wajua nakulinda we kidosho wa afrika
We uje nizalie musichana
Nami nikupe wewe kijana
Penzi linawiri nakamwe tusilisalitiii
Sina mengi mm nina shairi mashairi wwoouuuu!
Chorus
Wo wo woouuux2
Ooooh ni wewe tuu,ni wewe napeeendaa niwewe wewe
Ni wewe nataka
Africa nzima yakutamani ni weweee ni wewe wewe wewe wewe wewe eeee
Altri brani di Sauti Sol
Il testo della canzone mapacha da sauti sol.











