Il testo della Atupenda

Tina Kuto Kalle

pochette album Atupenda
Vista su itunes

sonnerie téléphone portable pour Atupenda
Video clip

Kwa maana jinsi hii mungu
Aliupenda ulimwengu
Kamtoa mwanawe ili
Tupate uzima milele

Atupenda
Atupenda
Atupenda
Atupenda kweli

Ni upendo gani huu
Mwokozi kujitolea
Atufilie wenye dhambi
Tupate uzima milele

Alitufia
Alitufia
Alitufia
Tupate uzima

Katika yeye tunaishi
Katika yeye twatembea
Katika yeye tuna uzima
Na sisi ni watoto wake

Altri brani di Tina Kuto Kalle